Imewekwa: 24th Oct, 2020
Bodi ya Maziwa Tanzania kwa kushirikiana na Baraza la Kilimo Tanzania wanakulete Wiki ya Uhamasisha Unywaji Maziwa Kitaifa na Maonesho ya Kimataifa ya Bidhaa za Mifugo 2018. Maadhisho ya Wiki ya Maziwa yanatarajiwa kufanyika kwenye Viwanja vya ''Themi'' Nanenane kuanzia tarehe 28.05.2018 na kufikia Kilele siku ya tarehe 01.06.2018 ambayo pia ni Siku ya Maziwa Duniani.
Karibuni Sana