Takwimu za Unywaji Maziwa Shuleni
Takwimu za Unywaji Maziwa Shuleni
MRADI WA MAZIWA SHULENI NCHINI TANZANIA 2018 | ||||||
S/N | MKOA | WILAYA | IDADI YA SHULE |
JUMLA YA WANAFUNZI |
UJAZO WA MAZIWA UNAOTUMIKA KWA MWANAFUNZI KWA WIKI (MLS) |
KIASI CHA MAZIWA KINACHOTUMIKA KWA WIKI (LITA) |
01 | Arusha | Halmashauri ya Manispaa ya Arusha |
3 | 3047 | 200 | 609.4 |
02 | Kilimanjaro | Halmashauri ya Manispaa ya Moshi |
17 | 9771 | 200 | 1954.2 |
03 | Dar es Salaam | Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni |
6 | 6137 | 500 | 3068.5 |
04 | Njombe | Halmashauri ya Manispaa ya Njombe (M), Wanging'ombe, Makambako |
12 | 6993 | 800 | 5594.4 |
05 | Mbeya | Halmashauri ya Manispaa ya Mbeya |
5 | 3905 | 800 | 3124 |
Halmashauri ya Mji Rungwe | 7 | 5502 | 800 | 4401.6 | ||
Halmashauri ya Mji Mbarali | 1 | 291 | 800 | 232.8 | ||
06 | Tanga | Halmashauri ya Manispaa ya Tanga |
4 | 3606 | 400 | 1442.4 |
JUMLA KUU | 55 | 39252 | 20,427.30 |